- 259 viewsDuration: 2:40Wakazi wa eneo la Tiaty, kaunti ya Baringo, wamefaidika na mpango wa usajili mashinani ambao umewawezesha kupata huduma za usajili wa vitambulisho vya kitaifa karibu nao. Kufikia sasa, watu elfu ishirini katika maeneo yaliyotengwa wamesajiliwa kupata stakabadhi hiyo muhimu. Baringo ni moja kati ya kaunti 15 zinazolengwa kwa shughuli hiyo.