Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Tinderet waandamana kwa siku saba mfululizo kufuatia kutoweka kwa Shadrack Maritim

  • | Citizen TV
    4 views
    Kwa siku ya saba mfululizo, wakazi wa eneo bunge la Tinderet kaunti ya Nandi, wamekuwa wakiandamana wakitaka serikali imtafute mgombea wa kiti cha unbunge cha eneo hilo aliyetoweka .