Wakazi wa Transnzoia waraiwa kujua hali yao ya afya

  • | Citizen TV
    134 views

    Serikali ya kaunti ya Trans Nzoia imeanzisha harakati za kuhamasisha wakazi kujua hali yao ya afya ili kukabiliana na magonjwa sugu mapema.