Wakazi wa Tunen walilia haki baada ya Maafisa wa Polisi kulinda anayetuhumiwa kwa unyakuzi wa ardhi

  • | West TV
    30 views
    Taharuki imetanda katika kijiji cha tunen wadi ya motosiet kaunti ya trans nzoia baada ya mtu mmoja kudunga kwa mshale kufuatia mzozo wa ardhi ya ekari 716 kati ya bwenyenye mmoja na wakazi 360