Wakazi wa Turkana wateta kuhusu vikao wakisema seneti mashinani haijawafaidi Lodwar

  • | Citizen TV
    320 views

    Wakazi wa kaunti ya Turkana wanatilia shaka manufaa ya vikao vya seneti mashinani kwa wakazi baada ya kukamilika kwa kikao kama hicho Turkana. Wakaazi wa Turkana katika sekta ya biashara wanalalama kutofaidika na seneti mashinani wakidai kuwa bidhaa zote zilizokuwa zikitumika zilitoka Nairobi na kuwanyima fursa wafanyibiashara wa mashinani kunufaika