Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Waa, Ng'ombeni, Tiwi, Kinondo na Diani Kwale wadai hatimiliki

  • | Citizen TV
    430 views
    Duration: 2:06
    Wakaazi wa maeneo ya Waa, Ng'ombeni, Tiwi, Kinondo na Diani kaunti ya Kwale waendelea kushinikiza serikali kuu kuwapimia ardhi na kutoa hati miliki kwa wakaazi ambao wamekaa muda mrefu bila hati miliki.