12 Sep 2025 10:54 am | Citizen TV 48 views Gavana wa Narok Patrick Ole Ntuntu ameahidi kuwapa hatimiliki kwa maelfu ya familia wa wadi ya Sagamian Narok Kusini.