Wakazi wa wadi ya Shamata kaunti ya Nyandarua wahangaishwa na wanyamapori

  • | Citizen TV
    141 views

    Wenyeji wa wadi ya Shamata kaunti ya Nyandarua wanaishi kwa hofu ya kushambuliwa na wanyamapori haswa chui na fisi.