25 Feb 2026 1:27 pm | Citizen TV 448 views Duration: 4:04 Wakazi wa wadi za Lugulu na Marachi mashariki katika eneo bunge la Butula kaunti ya Busia wanahofia usalama wao kwenye daraja la Namaderema linaounganisha wadi hizo mbili ambalo liko katika hali mbovu kabisa