Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Yala walalamikia kuchelewa kwa ujenzi wa kiwanda cha sukari cha Lake Agro

  • | Citizen TV
    296 views
    Duration: 2:16
    Wakazi wanaoishi maeneo yanayozunguka kinamasi cha Yala wamewasilisha ombi rasmi katika Idara ya Ardhi ya Kaunti ya Siaya wakitaka majibu kuhusu kucheleweshwa kwa ujenzi wa kiwanda cha sukari cha Lake Agro katika kinamasi hicho