6 Aug 2026 1:19 pm | Citizen TV 215 views Duration: 1:59 Wakazi wa vijiji vya Yare na Muramur kaunti ya Samburu wameandamana kupinga kile wanachodai kuwa ni kuingiliwa kwa mchakato wa ugavi wa ardhi katika eneo hilo.