Wakazi waasi ufugaji kambi Karaya Pokot Magharibi

  • | Citizen TV
    199 views

    Ukosefu wa usalama na kukithiri kwa wizi wa mifugo kumewafanya baadhi ya wafugaji wanaoishi katika mpaka wa kaunti ya pokot magharibi na Turkana kuacha ufugaji na kugeukia uchimbaji dhahabu ili kujipatia tonge la siku. Wafugaji hao wanaelezea mahangaiko wanayopata wanapovamiwa na mifugo wao kuibiwa, jambo ambalo limewatumbukiza wengi kwenye uchochole.