Wakazi wafunga barabara ya Kisii - Narok

  • | Citizen TV
    1,262 views

    Kizaazaa kilishuhudiwa kwenye barabara ya Kisii kuelekea Narok baada ya wakazi wa Bomet kuandamanana na kufunga barabara hiyo.