12 Sep 2025 10:51 am | Citizen TV 497 views Duration: 1:57 Shughuli za uchukuzi na usafiri kwenye barabara kuu ya kutoka misikhu kuelekea webuye zilitatizika kwa muda wa saa tano baada ya wakazi wa soko hilo kuandamana na kufunga barabara hiyo.