Hali ya taharuki imetanda katika eneo la Kibiko, Ngong, Kaunti ya Kajiado na viunga vyake, baada ya wakazi kuanza kutoroka makazi yao kwa kuhofia mashambulizi yanayohusiana na mzozo wa umiliki wa ardhi ya kijamii. Makundi mawili hasimu yanadai umiliki wa kipande cha ardhi cha takriban ekari 2,800 katika mzozo ambao umesababisha watu kadhaa kujeruhiwa na mali kuharibiwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive