Wakazi wakusanyika kupinga ugavi wa shamba kaunti ya Trans-nzoia

  • | K24 Video
    98 views

    Hali ya taharuki imetanda katika eneo la Kaptain, Cherangani kaunti ya Trans-nzoia, kufuatia umiliki wa shamba la ekari 132 kati ya makundi mawili. Inadaiwa kuwa shamba hilo lilinunuliwa na kundi la watu 18, ila likawa na kesi mahakamani ambayo iliamuliwa juzi na kudhibitisha kuwa 18 hao ndio wamiliki halisi wa shamba hilo