Wakazi walalamikia hatari ya daraja Mkanda Kwale

  • | Citizen TV
    496 views

    Wakazi wa Lukore na Kichakasimba katika wodi ya Kubo South katika kaunti ya Kwale wamelalamikia ubovu wa daraja la Mkanda 1 katika barabara ya Mkongani kuelekea Shimba Hills.