Wakazi walalamikia visa vya ubakaji

  • | KBC Video
    5 views

    Katibu katika idara ya masuala ya jinsia Anne Wang’ombe amelaani ongezeko la visa vya ubakaji katika eneo la Magadi, kaunti ndogo ya Kajiado Magharibi. Wang’ombe aliyeandaa mkutano wa dharura na wakazi wa eneo hilo na maafisa wa usalama alitoa wito wa ushirikiano ili kukomesha visa hivyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive