9 Dec 2025 10:46 am | Citizen TV 359 views Duration: 2:16 Wakazi wanaoishi pembezoni mwa Mbuga ya Mlima Elgon wamesisitizwa kuimarisha juhudi za kulinda misitu ili kuhakikisha rasilimali hizo zinaendelea kufaidi vizazi vijavyo.