Wakazi wanaoishi katika maeneo hukumbwa na mafuriko washauriwa kuchukua tahadhari

  • | KBC Video
    74 views

    Kamishna wa kaunti ya Homa Bay Moses Lilan anawashuari wakazi wanaoishi katika maeneo ambayo hukumbwa na mafuriko kuchukua tahadhari huku msimu wa mvua ukiendelea. Viwango vya maji kwenye mito iliyoko katika kaunti ya Homa Bay vinaongezeka na kuwaweka wakazi hatarini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News