Wakazi wapewe mbuzi kuimarisha ufugaji, uchumi Bungoma

  • | Citizen TV
    72 views

    Ni afueni kwa wakazi wa wadi ya Namwela, eneo bunge la Sirisia, Kaunti ya Bungoma, baada ya kupokea mbuzi wa maziwa kutoka kwa mwakilishi wadi, Charles Nangulu, ambaye amesisitiza kuwa kilimo na ufugaji ndiyo njia pekee ya kuinua maisha yao