27 Oct 2025 10:20 am | Citizen TV 203 views Duration: 1:41 Baadhi ya Wakazi wa jiji la Eldoret wameelekea katika mahakama ya upeo kupinga uamuzi wa mahakama ya juu wa kuipa kampuni ya kusambaza maji jijini eldoret ELDOWAS, kuongeza ada za maji kwa asilimia 300 .