Wakazi wapinga ubomoaji wa nyumba unaoendelea na kuandamana kaunti ya Bungoma

  • | Citizen TV
    432 views

    Shughuli za biashara zilitatizika mjini Bungoma hii leo baada ya watu kufunga barabara na kuwasha moto matairi eneo la Kanduyi kutokana na ubomoaji wa nyumba unaoendelea.