- 455 viewsDuration: 3:50Hulka ya wenyeji wa kaunti ya Busia ya kutotilia maanani swala la akipa na mikopo limetajwa kama sababu moja ya umasikini katika maeneo mengi ya mpakani. .. Waziri wa biashara na viwanda wa Busia Olakachuna Omuse amesikitika kuwa licha ya serikali hiyo kuanzisha vyama 35 katika wadi zote za Busia, baadhi ya wakazi hawajajiunga katika makundi ili kunufaika...