Wakazi watahadhiirshwa baada ya bwawa la Kiambere kujaa kufuatia mvua kubwa

  • | NTV Video
    244 views

    Wizara ya kawi imetoa tahadhari ya mafuriko kwa jamii zinazoishi karibu na mabwawa ya umeme ya Seven Forks, baada ya bwawa la Kiambere kujaa na kuanza kumwaga maji kwenye mto Tana kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika eneo hilo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya