Wakazi watakiwa kutokata miti wala kulisha mifugo msituni

  • | Citizen TV
    66 views

    Kufuatia kuongezeka kwa shughuli za kibinadamu zinazosababisha uharibifu wa mnara wa maji wa Kaptagat, unaotumiwa na kaunti za elgeyo Marakwet na Uasin Gishu, serikali kuu imeanzisha mikakati madhubuti ya kuhakikisha kuwa wakazi wa maeneo haya hawalitegemei sana eneo hilo kwa mahitaji kama kuni na malisho ya mifugo