Wakazi watalazimika kusubiri kwa kukamilika kwa ujenzi wa bwawa la Kariminu

  • | K24 Video
    38 views

    Wakazi wa kaunti za Kiambu na Nairobi, watalazimika kusubiri kwa muda kukamilika kwa ujenzi wa bwawa la Kariminu. Hii inatokana na kucheleweshwa kwa shilingi bilioni 4.2 za kufidia wenye mashamba ambayo mradi huo unatekelezwa.