Wakazi wavamia kituo cha polisi Mwea Mashariki kulalamikia kushambuliwa kwa mfanya biashara

  • | KBC Video
    15 views

    Wakazi waliokuwa na ghadhabu walivamia kituo cha polisi cha Itangi, eneo la Ngariama Kusini kaunti ndogo ya Mwea Mashariki kulalamikia madai ya kushambuliwa na kujeruhiwa kwa mfanya biashara mmoja katika eneo hilo na maafisa wa usalama. Kwingineko wakazi wa kijiji cha Juja Kusini katika kaunti ya Kiambu wanalalamikia hali duni ya barabara katika eneo hilo. Kwa hizi na taarifa nyingine ni kwenye mkusanyiko wa taarifa kutoka magatuzini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News