Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wawajengea nyumba wasiokuwa na makao bora Kanduyi

  • | Citizen TV
    269 views
    Duration: 1:57
    Huku msimu wa mvua ya masika ukiwadia, imekua changamoto kwa baadhi wa wakazi wa eneo bunge la kanduyi kaunti ya Bungoma ambao wanaishi katika nyumba duni kutokana na umaskini. Miongoni mwao ni, Violet Nekesa mwenye umri wa miaka 40 mama wa watoto wanne kutoka kijiji cha Sikulu eneo bunge la Kanduyi ambaye amekua akiishi katika nyumba duni baada ya mumewe kutoweka nyumbani miaka mitano iliyopita. Kutokana na hali hii wakazi wenye nia njema wamemjengea nyumba. wakazi wengine 41 wamenufaika na msaada kama huo wa kujengewa nyumba eneo hilo.