Wakazi zaidi ya 200 wakafurushwa Utange, Mombasa

  • | Citizen TV
    1,256 views

    Utata umeibuka baina ya wakazi zaidi ya 200 na aliyekuwa spika wa kaunti ya Lamu Mohammed fumo kuhusu umuliki wa kipande cha ardhi cha ekari 3.16 huko utange mombasa. Kulingana na wakazi hao, wameishi katika ardhi hiyo kwa zaidi ya miaka 40 na kuwa utata huo bado uko mahakamani. Mohammed fumo kwa upande wake anashikilia kwamba ana hatimiliki na ameidhinishwa na mahakama kuwafurusha wakazi hao