Wakeketaji wa zamani wahamasisha umma uache uhalifu huo

  • | Citizen TV
    152 views

    Wanaharakati wa kupinga tohara ya mtoto wa kike na waliokuwa wakeketaji kutoka jamii ya wamarakwet wameungana kupinga uhalifu huo katika kaunti ya Elgeyo Marakwet .