Skip to main content
Skip to main content

Wakenya 19 wameuwawa kwenye vita vya Urusi na Ukraine

  • | Citizen TV
    104 views
    Wakenya 19 wameuwawa kwenye vita vya Urusi na Ukraine, huku wengine 42 wakiwa hawajulikani waliko. Akizungumza kwenye kikao cha kamati ya leba katika bunge la seneti, waziri wa masuala ya kigeni musalia mudavadi amesema kuwa watu wawili wanazuiliwa jela huku 53 wakirudishwa nchini. Idadi jumla ya wakenya wanaoshiriki kwenye vita hivyo imepanda hadi 291.