- 3,236 views
Wakenya 24 ni miongoni mwa zaidi ya washukiwa elfu moja kutoka mataifa 19 barani Afrika waliokamatwa kwa madai ya kuhusika na wizi wa mabilioni kupitia mtandao kulingana na ripoti ya interpol, wakenya hao wanadaiwa kuhusika na wizi wa shilingi bilioni 1.1 zilizoibwa kwa kubadilisha ulinzi wa mitambo ya benki kabla ya kutumia mtandao wa swift kutuma fedha hizo mataifa ya uarabuni, nigeria, uchina na kuzirejesha nchini kupitia kampuni zinazotoa huduma za fedha mitandaoni. Ripoti hiyo imesema watu 35,000 wameathirika na visa vya wizi wa mitandao hata ingawa maafisa wa usalama tayari wamerejesha zaidi ya shilingi bilioni 5.6 na kuharibu maelfu ya mitandao inayohusishwa na wizi huo.
Wakenya 24 wakamatwa kwa madai ya wizi wa benki kupitia mitandao
- 22 Jun 2025 - A woman suspected of conning a Chinese national $101,000 (Ksh.13, 049, 200) in a fraudulent trade deal had been arrested.
- 22 Jun 2025 - President Donald Trump said US air strikes on Sunday "totally obliterated" Iran's main nuclear sites, as Washington joined Israel's war with Tehran in a flashpoint moment for the Middle East.
- 22 Jun 2025 - The Democratic Republic of Congo has extended by three months a ban on exports of cobalt intended to curb oversupply of the electric vehicle battery material, a regulatory agency said on Saturday.
- 22 Jun 2025 - Italian Prime Minister Giorgia Meloni said on Friday she was working with the European Union on a debt-relief initiative for African states - part of Rome's efforts to help development in Africa and address the root causes of mass migration.
- 22 Jun 2025 - Several hundred armed men, many on motorbikes, attacked a Niger army base near the border with Mali, leaving at least 34 soldiers dead and 14 wounded, the Defence Ministry said.
- 22 Jun 2025 - The goons disrupted protests in Nairobi CBD on Tuesday.
- 22 Jun 2025 - Iran's state media admit part of the site was "attacked" but downplays extent of the damage
- 22 Jun 2025 - Kenya's police's dalliance with brutality, impunity stands out among global peers
- 22 Jun 2025 - Esther Passaris: Self-declared police mouthpiece
- 22 Jun 2025 - How Trump's chaos will ripple through Kenyan economy