Wakenya bado wanalawama kuwa mengi zaidi yanahitajika kufanywa kupambana na gharama ya maisha

  • | K24 Video
    42 views

    Japo bei ya baadhi ya bidhaa muhimu kushuka bei kama vile unga wa sima, wakenya bado wanalawama kuwa mengi zaidi yanahitajika kufanywa, kwani tofauti iliopo haitoshi kuwafuta machozi ya uchungu wa gharama ya maisha. Kulingana na ripoti ya hivi karibuni ya gharama ya maisha kutoka kwa benki kuu ya kenya mfumuko wa bei umepungua kutoka 9.6% hadi 9% mwezi januari ikilinganishwa na mwaka jana.