Wakenya kuandamwa na hali ngumu ya maisha hata zaidi mwaka 2024

  • | TV 47
    13 views

    Wataalam wa uchumi nchini wametoa utabiri wa hali ngumu zaidi kwa Wakenya katika mwaka huu mpya.

    Wanasema kuwa mzigo mkubwa wa ushuru huenda ukapelekea biashara nyingi za kibinafsi kufungwa na hivyo basi kufanya wakenya wengi kupoteza ajira.

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __