- 1,454 viewsDuration: 1:07Bei ya lita moja ya petroli imeongezwa kwa shilingi 16.65 za Kenya ambayo ni sawa na senti 13 za Dola ya Marekani. Watakaoumia zaidi ni watumiaji wa dizeli ambayo imeongezwa kwa shilingi 46.29 za Kenya, sawa na senti 36 za dola ya Marekani kwa kila lita. Hata hivyo, bei ya mafuta ya taa haijabadilika. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw