Wakenya kukatwa asilimia-2.75 ya mshahara kugharamia bima mpya ya afya kwa jamii

  • | KBC Video
    99 views

    Wakenya watakatwa asilimia 2.75 ya mishahara yao kila mwezi kugharamia bima mpya ya afya kwa jamii kuanzia tarehe 1 mwezi Februari mwaka huu. Hii ni baada ya mahakama ya rufani kubatilisha uamuzi wa mahakama kuu ulioahirisha utekelezaji wa sheria ya bima ya afya kwa jamii ambayo inachukua mahali pa hazina ya kitaifa ya bima ya matibabu-NHIF. Jaji wa mahakama kuu Chacha Mwita alitoa agizo kwa serikali kusitisha utekelezaji wa sheria ya bima ya afya kwa jamii ambayo ilipaswa kuanza kutekeelzwa tarehe 22 mwezi Novemba mwaka jana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive