Wakenya Milioni 1.4 wanaishi na virusi vya UKIMWI

  • | West TV
    65 views
    Huku wakenya wa tabaka mbalimbali wakijiunga na ulimwengu kuadhimisha siku ya ukimwi duniani, zaidi ya wakenya milioni 1.4 wanaishi na virusi vya ugonjwa huo.