Wakenya milioni 17 wamesajiliwa katika bima ya afya-SHA

  • | TV 47
    17 views

    Kufikia sasa, wakenya milioni 17 wamejisajili katika mpango wa bima ya afya-SHA huku serikali ikidokeza kuwa changamoto zilizokumba bima hiyo zimeanza kutatuliwa.

    Naibu Wa Rais Prof.Kithure Kindiki amedokeza kuwa serikali inalainisha mambo yote kuhakikisha kuwa hospitali zinatoa huduma kwa njia ya mwafaka.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __