Wakenya Mombasa na Siaya wanatoa maoni kuhusu ushuru

  • | Citizen TV
    413 views

    Wakazi wa Mombasa wanatoa maoni yao kuhusu miswada ya kubadilisha sheria za ushuru. Vikao hivyo vya marekebisho vilivyoanza jana vinafanyika katika kaunti za Mombasa, Taita Taveta,Siaya na Kericho.