Rais William Ruto ametoa tuzo za heshima ya kitaifa kwa watu 879 kutambua huduma zao za kipekee kwa taifa hili. Hafla ya utoaji tuzo hizo iliyofanyika katika Ikulu ya Nairobi ilishuhudia watu mashuhuri akiwemo Gavana Patrick Ole Ntutu wa Narok, kamanda wa jeshi la Kenya luteni jenerali Keter David Kipkemboi, mwanamuziki Iyani na wanamichezo wa kike na wa kiume wakituzwa katika ngazi mbalimbali miongoni mwa hadhi hizo ikiwa ile ya elder of the golden heart EGH, chief of the order of the burning spear na order of the grand warrior OGW.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive