- 193 viewsDuration: 1:50Maafisa wa afya ya kinyua Kwa ushirikiano na Wizara ya afya ya serikali ya kaunti ya Nakuru, wamefanya matembezi ya amani Katikati mwa jiji la Nakuru kuhamasisha umma kuhusu Usafi wa meno na Kinyua wanapoadhimisha siku ya afya ya kinywa duniani.