- 228 viewsDuration: 1:25Makatibu katika wizara mbalimbali wamewahimiza wananchi kukumbatia huduma na miradi ya serikali ili kufaidika kikamilifu na kurahisisha hali ya maisha. Wamesema serikali imewekeza rasilimali nyingi kuhakikisha huduma za kijamii zinapatikana kwa urahisi kwa wananchi wote.