Wakenya wahimizwa kupanda miti ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi

  • | KBC Video
    4 views

    Wakenya wamehimizwa kukumbatia upanzi wa miti ya kiasili kama nia ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Mtetezi wa masuala ya mazingira Isaac Ndirangu amesema upanzi wa miti unaweza kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya anga kama vile mafuriko yanayoshuhudiwa katika maeneo tofauti ya taifa hili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive