Wakenya wahimizwa kutumia kanisa kama jukwaa la kujiendeleza kiuchumi

  • | KBC Video
    9 views

    Wakenya wamehimizwa kukumbatia na kutumia kanisa kama jukwaa la kujiendeleza kiuchumi. Kulingana na Wainjilisti, kanisa lina sauti ya kuleta mabadiliko katika nyanja ya kijamii na kiuchumi humu nchini Akiongea kwenye uzinduzi rasmi wa kanila ya Rig Afrika Mashariki, Wainjilisti wakiongozwa na Cynthia Nyamai walisema kanisa ni nguzo muhimu katika kuhakikisha ufanisi katika jamii licha ya nyakati ngumu za kiuchumi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News