Wakenya waitaka serikali kuharakisha mikakati ya kupanua barabara ya Nairobi kuelekea Nakuru

  • | K24 Video
    53 views

    Wakenya sasa wainaitaka serikali kuharakisha mikakati ya kupanua barabara ya Nairobi kuelekea Nakuru katika sehemu ambapo ni hatari kwa maderva na watumizi wa barabara hii ni kufuatia ajali iliyo tokea karibu na daraja la Ngata, eneo bunge la Rongai kaunti ya Nakuru na kuwaua watu 11 miongoni mwao mtoto wa miezi 6. Kamanda wa kaunti ya Nakuru Samuel Ndanyi amesema kuwa dereva wa lori lililohusika katika ajali hiyo alitowek