Wakenya wakwama jijini Kampala, Uganda kutokana na mgomo wa wafanyabiashara kutokana na ushuru

  • | TV 47
    53 views

    Wakenya wakwama jijini Kampala, Uganda kutokana na mgomo.

    Wengi wa wafanyabiashara walikuwa wameenda kununua bidhaa za kuuza.

    Wafanya biashara Kampala wanagoma kulalamikia ushuru wanaotozwa.

    Hii ni mara ya pili wafanyabiashara kugoma jijini Kampala Uganda.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __