Wakenya waliotoa ardhi yao kwa mradi ya Lapset wataka fidia

  • | Citizen TV
    525 views

    Mashirika yanayopatikana katika kaunti ambazo bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Lokichar Turkana hadi katika bandari ya Lamu chini ya mradi wa LAPPSET,yamekongamana mjini Lodwar Turkana kujadili mbinu mwafaka za kutetea jamii zao zinufaike na mradi huo. na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel, viongozi wa shirika la SAVE LAMU kutoka Lamu wanasema katika barabara ya LAPPSET serikali lazima ifidie jamii ambazo zilitoa ardhi yao kwa mradi huo.