Wakenya Wamkosoa Raila Kuhusu Pendekezo la NGCDF

  • | NTV Video
    243 views

    Baadhi ya Wakenya na viongozi wa ODM wamemkosoa kinara wao Raila Odinga kufuatia pendekezo lake kuwa hazina ya NGCDF isimamie na magavana. Wengi wameunga mkono hatua ya wabunge kuhalalisha hazina hiyo, wakisema imewanufaisha pakubwa.