Wakenya wampongeza rais kwa kuwafuta kazi mawaziri

  • | NTV Video
    7,239 views

    Wakenya wanamtaka rais William Ruto kuzingatia masomo, uzoefu na sura ya kitaifa kwa baraza jipya la mawaziri huku wakisema bado angali na jukumu la kusuluhisha gharama ya juu ya maisha, ufisadi na kuleta nafasi za ajira kwa vijana .

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya